
7: Dr Maria Telkes mwaka 1947 alijenga nyumba ya kwanza duniani yenye mfumo wa umeme wa jua au solar energy.

8: Mwaka 1886 Maria Beasely alibuni maboya ya kuogelea au life jackets baada ya kukithiri vifo vya baharini ni uvumbuzi uliyopongezwa na watu wengi na kumfanya Maria Beasely kuwa mwanasayansi mwenye jina kubwa.

9: Dr Shirley Jackson ni mwanafizikia aliyebuni nyaya au fiber cable zinazotumika leo hii kwenye mitandao ya simu, pia uvumbuzi wake mwingine uliyomjengea jina ni pamoja na machine ya fax, mfumo wa kusubirisha mtu kwenye simu au call waiting.

10:Ada Lovelace: Unaweza usiamini lakini computer programmer wa kwanza duniani ni mwanamke Ada Lovelace alikuwa mtu wa kwanza kubuni program mbalimbali za computer.

0 Maoni :
Post a Comment