OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Je, Kuna haja ya kuzima simu zetu wakati wa mvua za radi? Na kwanini?


Watu wengi husema ni Hatari sana kuongea na simu wakati wa mvua za radi, baadhi hukanusha kauli hizo, Ukwel;i ni kwamba.........................

Hapana, Hakuna haja ya kuzima simu yako au kifaa chocho kinachoendeshwa na matumizi ya betri wakati wa mvua za radi.

Lakini kama Simu yako unaichajisha kwenye umeme, hapo unatakiwa kuitoa kwenye soketi ya umeme, Radi haivutwi na simu yako mpaka pale simu yako kama imeshikwa au kuunganishwa kwenye kifaa cha uchuma au ardhini.

Kwa ushauri bora ni kwamba; Usipende kubaki nje ya nyumba wakati wa Mvua za maradi na waweza zima simu yako ya mkononi kama kujihadhari .



TAZAMA MADHARA YA MIONZI YA SIMU PALE UNAPOITUMIA:






MADHARA YA SIMU KWA WATOTO:


Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 Maoni :