OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Wireless (Wi-Fi) ipo Connected kwenye Kompyuta/Simu lakini hakuna Access ya Internet [SOLVED]

Majibu ya watu kwa haraka haraka husema 'Leo Mtandao unasumbua sijui kwanini' Kama wewe ni mtumiaji sana wa Internet kupitia Wi-Fi, hata kama unamazoea kutumia simu yako kuunganisha kwenye Kompyuta yako ili kupata access ya Internet, Basi huenda tatizo hili limeshakutokea.





Soma hatua zifuatazo za kutatua tatizo lako:
Moja ya yote Nenda kwenye Device Manager

Ø Fungua

Ø Bonyeza kwenye Network adapter

Ø Right click kwenye Wireless LAN Card

Ø Uninstall

Ø Refresh it

Ø Sacn it kwa mabadiliko ya Hardware

Ø Device Manager automatically ita install Wireles driver, Sasa angalia wireless yako

Ø Connect

Ø Andika password

Ø Refresh au Rest internet Cable yako

Ø Bonyeza kwenye alama X ambayo yaku troubleshoot wireless (baada ya kwenda kwenye Open network and sharing center)

Ø Sasa network access itapatikana, Refresh tena na Unistall tena Wireless LAN Card, Hapa ita FIX tatizo

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI KUFUATILIA HATUA ZA HAPO JUU







Kama umepata tatizo hilo kwenye Simu yako basi tazama Video ya hapo Chini




Kwa ushauri au Maoni yeyote Tafadhari usisite kututumia kwa kubonyeza sehemu ya Leave a message sehemu ya chini ya page upande wa kulia...............

Asante!!!!!!!!!
Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment