Jinsi ya kutumia Sim cards (lines) mbili au zaidi katika simu inayotumia Simcard moja
Una simCards mbili kwa mfano Vodacom na Tigo au Halotel na Airtel, unachotakiwa kufanya ni kuweka Simcard (line) ambayo unapenda kuitumia mara kwa mara kwenye simu yako na zile Simcard (lines) zingine unaweka ndani.
Kumbuka kwamba unahitajika kuweka line ambayo unapenda kuitumia, kwa kuwa line hiyo tu ndio utakayoweza kupiga simu. Lakini kwa zile line ambazo ulizopweka ndani zitatumika kwa ajili ya kupokea simu tu kwa watakaokupigia kwa kutumia zile namba zako, mfano ndani kuna line ya voda na halotel, kama mtu atakupigia namba yako ya voda au Halotel utakuwa upo hewani na utaweza kupokea na kuongea nao japo kwenye simu kuna line ya Tigo, lakini hutoweza kuwapigia wao kwa kutumia line zilizowekwa ndani bali utapiga simu kwa kutumia Tigo iliyopo kwenye simu.
Bonyeza **21*(ikifuatiwa na namba ya simu ambayo ni muhimu/unayotumia kila mara) kisha # na bonyeza OK
Baada ya kutuma zima simu yako na uweke/replace Simcard muhimu kwako/unayotumia mara kwa mara. Hapa utakuwa umefanikisha na utapatikana hewani kwa mitandao yote.
NOTE: Inafanya kazi kwa simu zote na mitandao yote.
Kama unahitaji kujitoa katika huduma hii piga ##21# kisha zima simu na utoe simcard iliyopo kwenye simu, weka simcard ambayo uliyoweka ndani(ambayo haikuwepo kwenye simu), kisha bonyeza ##21# kisha OK, call forwarding zitakuwa canceled na simu itakuwa kama zamani.
Tafadhari Share Post hii ili wapate kujua na wengine*****ICT yetu is the best****
Laptop yngu ya dell.. haipokei chji.. nikiweka chji adapta ya way wa chj inazmika kile kitaa chke.. je ttzo inawezkan ni nni? Na nifanyeje kulitatua? Naombeni msaada plz.. mm n mwnafunzi laptop nahtj kutumia shulen.. 0772667487.
ReplyDeleteIbrahlkhereziy@gmail.com...
hzo ndio contact zngu