Interview Inaendelea.....
TAZAMA NA MASWALI HAYA:
1. Niambie kidogo kuhusu wewe mwenyewe?
2. Kwa nini umeacha kazi yako ya mwanzo?
3. Ni bosi gani wako alikuwa mubaya /mzuri katika maeneo yako ya kazi?
4. Katika msimamo wako wa sasa ni matatizo gani uliyo yagundua ulipokua unafanya kazi?
5. Ni aina gani ya watu ambao ni vigumu kufanya kazi nao?
6. Eleza hali ambapo huku,u yako imeonekana kuwa thamani?
7. Maswala gani ya kazi yako haukuyapenda?
8. Je, umefanya kazi vizuri kwa shinikizo / kwa muda wa kupanga na kuaanda?
9. Ni nini ,uhimu zaidi- kukamilisha kazi kwa mwakati au kufanya kwa haki?
10. Ni nini uwezo wako na udhaifu wako?
11. Nini umuhimu 3 katika mafanikio yako zaidi katika taaluma yako?
12. Ni aina gani ya maamuzi ni magumu sana kwa akiri yako?
13. Katika kampuni yako sasa ni kipi ambacho hukipendi au haukubaliani nacho?
14. Bosi wako ungependa akuelezeaje?
15. Jinsi gani unaweza kwenda kuwakosoa wengine?
16. Ni aina gani ya kazi unaweza kuhhisi huwezi kugawa?
17. Kwa nini unafikilia hii ni frusa nzuri?
18. Ni aina gani ya mahusiano unapendelea kudumisha na wenzako na wasaidizi?
19. Jinsi gani unaweza kujaribu kuendeleza wanachama dhaifu wa timu yako?
20. Eleza jinsi ya kutenga muda wako na kuweka vipaumbele vyako juu ya siku za kawaida?
21. Je timu yako inaweza kuendelea bila ya wewe?
22. Jinsi gani unaweza kuamua kama mtu wa chini anafanya kazi nzuri?
23. Je wewe ni mpangaji bora au mtekelezaji?
0 Maoni :
Post a Comment