OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Kama umesahau password au unahitaji kufuta kila kitu(Hard reset) kwenye simu yako ya NOKIA LUMIA

Kama una simu ya Nokia Lumia model yeyote na umesahau password yako au inakusumbua unahisi njia ni kufuta kila kitu ili simu iwe kama ulivyoitoa dukani basi ondoa shaka.


  1. Zima simu yako.
  2. Bonyeza Kitufe cha kuwashia bila kuachia na kitufe cha kupunguzia sauti 
  3. Njia nyingine ya kufanya ni - unabonyeza kitufe cha kushushia sauti na chomeka chaji 
  4. Inapojitokeza alama ya Mshangao "exclamation mark" kwenye screen Bonyeza kwa mfululizo kama ifuatavyo:
  5. -> Volume Up.
  6. -> Volume Down.
  7. -> Power button.
  8. -> Volume Down.



Kama umeshindwa kufanya pekeyako basi Tazama video hii fupi niliyokuwekea ili umalize tatizolako





Tazama na hii

 


Jinsi ya Ku-fix Nokia Lumia Windows Phone 8 kama Logo yake ya Cog wheels or Gears ime stuck



Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment