Nini Maana ya Dell Power Button Light
1. Mwanga wa kijani (solid light) maana yake Kompyuta inafanya kazi yake kama kawaida
2. Mwanga wa Njano(solid yellow) Inaonyesha power supply inafanya kazi kama kawaida lakini kompyuta hai process data. Hii inamaanisha kuna tatizo kwenye CPU au sehemu nyingine kwenye Motherboard
3. Blinking mwanga wa njano(kama inakonyeza) inaonesha power suppy(umeme) inapokea kutoaka ukutani yaani kwenye vyanzo vya umeme lakini haifanyi kazi vizuri. Hii kwa ujumla maana yake power supply yenyewe ni mbovu inatakiwa kupimwa au inatakiwa kubadilishwa
4. Blinking mwanga wa kijani/green inamaanisha kompyuta ipo kwenye standby mode
HITIMISHO:
Unapaswa kufikiria kutembelea Dell Support na kupakua mwongozo kwa model ya computer uliyonayo, kama codes za mwanga hubadilika kutegemea na mtindo wa kompyuta yako ya Dell. Hivyo tumia LED codes power light codes kama kompyuta yako ya Dell inayo. Pia kuwa makini na Beeps au sauti zozote zinazotoka kwenye kompyuta ambazo siyo za kawaida. Kisha Wasiliana nasi kupia email zetu au namba zetun za simu ili tukusaidie zaidi na uweze kutatua tatizo lako Bila gharama yeyote. Kumbuka kuwa ICT yetu ni yetu sote na Is the best.
KINACHOTAKIWA:
Kama system yako bado ipo kwenye warranty, unapaswa daima kuwaita tu kwanza, na kisha kukubadilishia au kukurekebishia tatizo lako.
Kama unaswali linguine kuhusiana na tatizo la kompyuta basi unaweza ukabonyeza link ya ASK QUESTION na ukasaidiwa . Asante!!
0 Maoni :
Post a Comment