Kwa kutumia menu kwa tools icon, unaweza ukabadili settings kwa destination format ku adjust yenyewe.
Hapa unaweza kuchagua supported video na audio codecs na una access ya advanced options zote kama bit rate, resolution, framerate, na audio quality.
Kwa kutumia special filters, Unaweza pia ukabadili au optimize video au audio track kipindi cha conversion process. Kwa mfano, unaweza ukazungusha recorded videos 90° au kuongeza watermark au logo.
5. Conversion: Videos inahifadhiwa kwenye target format
Endapo Umechagua Setting zote, Bonueza Start kuanza conversion. VLC media player huwa ina save film kwenye desired format ndani ya file folder ulilolichagua. Muda wa kumaliza conversion kutegemeana na urefu wa video, settings uliyochagua, na speed ya kompyuta yako.
Kwa batch conversion, unaweza ukaangalia mwendeleo kwenye timeline wakati unacheza video.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
0 Maoni :
Post a Comment