OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kurekebisha Play store kwenye simu yako ya Android iwapo inasumbua/ haitaki ku download App


Wakati unajaribu kupakua "download" program kwenye Play store, inaonesha ujumbe kama huu "Unfortunately App has Stopped" wala haina haja ya kwenda kwa fundi ili akurekebishie bali ni wewe mwenyewe waweza tatua tatizo hilo.. Ni rahisi sana fuata hatua zifuatazo na chini pia nimekuwekea msaada zaidi wa video ili utatue tatizo hilo kwa kutazama kwa vitendo.























Hatua #1: Fungua "Settings" kisha fungua App zako (yaani App Settings)

Hatua #2: Shusha chini mpaka kwenye ile App inayokataa

Hatua #3: Bonyeza hiyo App yako inayosumbua kufunguka ("mfano Play store")

Hatua #4: Bonyeza kwenye “Storage option“.

Hatua #5: Sasa, utaona vitu viwili – “CLEAR DATA” na “CLEAR CACHE“.


Bonyeza “CLEAR CACHE“. Chaguo la kwanza (Clear Data)


Baada ya kufanikiwa kufuta Cached storage data, Fungua tena "re-launch" App yako na jaribu tena kama ulivyofanya

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI KWA MSAADA ZAIDI







Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment