OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE/BREAKING NEWS PAGE 2

Hallo!! Breaking News za Leo Soma kwenye Ubao wetu Mweusi

BREAKING NEWS ZA TAREHE 12/06/2017



UCHANGIAJI WA DAMU:
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wanawake kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wanawake wanaopoteza damu nyingi wakati wa kujifungua.'

DAWA ZA KULEVYA:
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema vijana 3,000 walioathiriwa na dawa za kulevya wametibiwa ndani ya miaka 10.'

UCHANGIAJI WA DAMU:
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wanawake kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wanawake wanaopoteza damu nyingi wakati wa kujifungua.'


RIPOTI YA MAKINIKIA:
Kamati ya Uongozi ya Bunge inakutana kujadili namna ya kumpongeza Rais Magufuli kwa hatua anazochukua kulinda rasilimali za nchi.'

RIPOTI YA MADINI:
Mbunge Heche vamtaka Rais kupeleka mabadiliko ya katiba bungeni ili kuruhusu maraisMkapa na Kikwetewachunguzwe kuhusiana na mikataba ya madini .'

RIPOTI YA MADINI:
Mbunge wa Tarime vijijini,John Heche amesema atawahamasisha wananchi kuvamia mgodi wa North mara baada ya ripoti kuonyesha unaiibia nchi.'

RIPOTI YA MADINI:
Mbunge John Heche amesemawananchi hawataruhusu ndege kutua North Mara kuchukua madini kwa sababu kampuni hiyo imebainika kuiibia nchi.'

RIPOTI YA MADINI:
Mbunge wa Tarime VIjijini John Heche amesema atawahamasisha wananchi kuvamia mgodi wa North Mara baada ya ripoti kuonyesha unaiibia nchi .'

KINGA YA WASTAAFU:
Spika wa bunge Job Ndugai awaambia wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe, wakumbuke nao wana mawaziri wakuu 2 wastaafu.'

GHOROFA LAPOROMOKA:
Watu 15 hawajulikani walipo baada jengo la ghorofa saba kuanguka usiku wa kuamkia leo mjini Nairobi nchini Kenya, uokoaji unaendelea.'

MJADALA WA BAJETI:
Tundu lisu asema Rais Kikwete naye anapaswa kuwajibishwa kwani ndiye aliyesainleseni ya mgodi wa Bulyanhulu akiwa waziri.'



BREAKING NEWS ZA TAREHE 12/06/2017


UZEMBE KAZINI:
Rais Robert Mugabe amfuta kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Zimbabwe, Jonannes Tomana baada ya jopo la uchaguzi kumkuta na hatia ya uzembe kazini.'


RIPOTI YA MCHANGA:
Rais John Magufuli amewasili ukumbi Ikulu jijini Dar, kupokea ripoti ya pili ya uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena ya mchanga.

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Prof Nehemiah Osoro asema Kamati imebaini kuwa kampuni ya madini ya Acacia haijasajiliwa nchini hivyo inafanya kazi kinyume na sheria.'

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Prof Nehemiah Osoro asema thamani ya makinikia ya dhahabu zilizosafirishwa toka 1998 hadi 2017 ni wastani wa Sh108 trilioni hadi Sh188 trilioni.

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Prof Nehemiah Osoro asema Kamati imependekeza serikali ichukue hatua za kisheria dhidi ya kampuni ya Acacia kwa kufanya kazi kinyume na sheria.'

RIPOTI YA MCHANGA:
Prof Nehemiah Osoro leo amemkabodhi Rais Magufuli ripoti ya pili ya uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena ya mchanga.'

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Rais Magufuli asema amekubali mapendekezo 20 yaliyotolewa kwenye ripoti ya pili ya uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena ya mchanga.'

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Rais Magufuli asema serikali iko tayari kujadiliana na kampuni ya Acacia kwa masharti kama kampuni hiyo itakiri kuwa imefanya makosa.'

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Sheria, P.Kabudi kupitia sheria zinazohusiana na madini na kuzipeleka bungeni kufanyiwa mabadiliko.'

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Rais Magufuli ameagiza viongozi waliotajwa kuhusika na kusababisha hasara kwenye ripoti ya pili ya uchunguzi wa madini wachunguzwe.'

RIPOTI YA MAKINIKIA:
Spika wa Bunge, Job Ndugai leo amesema ataunda timu ya kuchunguza madini ya almasi baada ya kuunda timu iliyochunguza Tanzanite.

BREAKING NEWS ZA TAREHE 11/06/2017

UJANGILI KATAVI:
Korti ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela, Robert Nakie kwa kosa la kupatikana na meno ya tembo ya thamani ya Sh120m.'


BREAKING NEWS ZA TAREHE 10/06/2017

MBARONI GEITA:
Watu 4 wakiwemo wazazi wa mwanafunzi wa darasa la 3 Shule ya Msingi Lwezera Wilayani Geita wamekamatwa na polisi kwa kumuozesha binti wa miaka 12.'


BREAKING NEWS ZA TAREHE 09/06/2017


AGIZO LA SAMIA:
Makamu wa Raisi, Samia Suluhu Hassan aagiza vyombo vya dola kuwakamata viongozi watakaobainika kujihusisha au kuhujumu mapambano ya uvuvi haramu.'


MAUAJI PWANI:
Watu watatu, wanahofiwa kuuawa kwa kupigwa risasi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo. DC wa Kibiti Gullamhusein Kifu amesema.'
http://ictyetu.blogspot.com/p/blog-page_83.html


0 Maoni :

Post a Comment