Kuna program chache ambazo zinaweza ku reset CMOS setting s au BIOS password au kwa zote kwa kubonyeza hatua kadhaa. Lakini kama ilivyosemwa juu unatakiwa uwe na access ya system ambayo inawasha na unatakiwa kuwa na access kwenye MS DOS au MS Windows:
CmosPwd
KillCMOS
5. Kwa kutumia Backdoor Bios password
Baadhi ya watengenezaji wa BIOS wanaweka backdoor password kwenye BIOS ambazo wakati wote zinafanya kazi irrespective ya password gani uliyokuwa nayo kwenye BIOS. Ni master password ambazo zinatumika kwa lengo la testing na troubleshooting.
AMI BIOS Passwords:
A.M.I. AAAMMMIII AMI?SW AMI_SW AMI BIOS CONDO HEWITT RAND LKWPETER MI Oder PASSWORD |
AWARD BIOS Passwords:
01322222 589589 589721 595595 598598 ALFAROME ALLy aLLy aLLY ALLY aPAf _award award AWARD_SW AWARD?SW AWARD SW AWARD PW AWKWARD awkward BIOSTAR CONCAT CONDO Condo d8on djonet HLT J64 J256 J262 j332 j322 KDD Lkwpeter LKWPETER PINT pint SER SKY_FOX SYXZ syxz shift + syxz TTPTHA ZAAADA ZBAAACA ZJAAADC |
PHOENIX BIOS Passwords:
BIOS CMOS phoenix PHOENIX Misc Common Passwords: ALFAROME BIOSTAR biostar biosstar CMOS cmos LKWPETER lkwpeter setup SETUP Syxz Wodj Other Manufacturer BIOS Passwords: Biostar - Biostar Compaq - Compaq Dell - Dell Enox - xo11nE Epox - central Freetech - Posterie IWill - iwill Jetway - spooml Packard Bell - bell9 QDI - QDI Siemens - SKY_FOX TMC - BIGO Toshiba - Toshiba VOBIS & IBM - merlin |
TAZAMA NA HII VIDEO HUENDA ITAKUSAIDIA PIA
Mm wamebadilisha passowd system number 2CTKXG1-1F5A msaada hapo tafadhari
ReplyDelete