OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kuifunga Simu iliyoibiwa (‘How to block a stolen Phone’)










Kama simu yako imeibiwa, unaweza kuwa na hofu kuhusu habari zako. Kwa simu zote Android na Ios huwa zina vitu ambavyo vinakuruhusu wewe kuweza kufunga simu yako, na hivyo basi yapaswa umewasha hizo huduma na kuzitumia. Kama huna access yeyote kwenye hizo huduma, bado unauwezo pia wa kuweza kuzuia simu yako isitumike, na Polisi wanaweza kukurudishia simu yako.



HATUA ZA KUFANYA:


1. Fungua Device Manager kwenye kompyuta . Kwa iPhone na Android huwa zina vitu ambavyo vinakufanya u locate, lock down, na ku wipe kifaa chako remotely.

Simu mpya huwa zina hizo functionality na huwa enabled by default, ila kwa simu za zamani inabidi ziwekwe manually enabled kabla ya simu kupotea. Unaweza kutumia hizo utilities kutoka kwenye web browser, au kwa kutumia app . unatakiwa kuingia kwa Google account au Apple ID ambayo unayoitumia kwenye simu yako iliyopotea. Kama huna huduma hii enabled kwenye simu yako, Angalia next section.

· Android – google.com/android/devicemanager

· iPhone – icloud.com/#find



2. Funga Simu. Kitu cha kwanza unapoingia kwenye device manager ni kufunga simu yako iliyopotea. Hii ni muhimu endapo kama huna password ya screen ya simu yako

· Android – Bonyeza “Lock” kwenye device manager kwa simu yako iliyopotea. Unaombwa uingiza password mpya ya simu yako

· iPhone – Bonyeza “Lost Mode” kwenye Find My iPhone kwa simu yako iliyopotea. Utaombwa utengeneze PIN mpya, na unaweza kuingiza meseji na Contact namba. Kwa simu zenye version mpya ya Ios Automatically zitakuwa On activation code zake kama simu itakuwa kwenye Setup




3. Futa kila kitu kwenye Simu. Kama unajua kwamba simu yako imeibiwa na unataka kuhakikisha kwamba Data zako zote hutaki mtu azione/azisome, unaweza ukafuta wakati upo mbali yaani remotely. Kama simu haipo on kwa wakati huo, automatically zitafutwa mara tu itakapowashwa.

· Android – Bonyeza “Erase” na Comfirm kwamba unahitaji kufuta data zote kwenye simu

· iPhone – Bonyeza “Erase iPhone” na kisha Confirm kwamba unafuta data zote.

Kwa iPhone mpya haitaweza kuwa activated kwa mtu mwingine, hata baada ya kuwa ume wiped na jailbrocken.






4. Epuka kutofatilia simu iliyoibiwa. Device manager yako itaonesha location ya simu yako kama itawashwa, lakini usipotezee kama kweli unaamini simu yako imepotea, Toa taarifa katika mamlaka husika ili kuhakikisha information zako ziko secure.



5. Badilisha Password zako zote na PINs. Kuna chance nzuri ya kuwa na umuhimu wa passwords iliyohifadhiwa kwenye simu yako, mara tu unapopoteza simu hunabudi kubadili password za email, banking, na shopping. Hivi ni muhimu kama simu yako ulikuwa haina ulinzi wa screen lock. Hata kama ulifuta kila kitu kwenye simu yako ila kuna umuhimu wa kufanya hivyo pia
Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

11 Maoni :

  1. Samahan mahitaji kublock tecno k7 imepotea

    ReplyDelete
  2. Nahitaji kufunga ifinix imeibiwa

    ReplyDelete
  3. Tecno pop 5 nataka kuifunga

    ReplyDelete
  4. Naombeni kunifungia simu yangu no ifinx hot 12i

    ReplyDelete
  5. Iv batani inafaa kufunga?

    ReplyDelete
  6. Naitaji kuifunga spark 5 air

    ReplyDelete
  7. Kuna. Smart. Phone. Imeibiwa. Infinix. Smart. 6

    ReplyDelete
  8. Naomba kufunga TECNO PARK 10 imeibiwa

    ReplyDelete
  9. Nimeibiwa oppo na ndo nilikua naitoa dukani

    ReplyDelete