Step 2 weka Enable USB Debugging kwenye simu yako ya Android
Kama simu yako haikufungua USB debugging,Progarmu hii itakuamulu uweke enable USB debugging.
1)Kwa
Android 4.2 au Mpya: Ingia "Settings" > Bonyeza "About Phone" >
Tap "Build number" kwa muda mpaka ikulete note "You are under developer
mode" > Rudi "Settings" > Bonyeza "Developer options" > Check
"USB debugging"
2) Kwa Android 3.0 to 4.1: Ingia "Settings" > Bonyeza "Developer options" > Check "USB debugging"
3)
Kwa Android 2.3 or za mwanzo: Ingia "Settings" > Bonyeza
"Applications" > Bonyeza "Development" > Check "USB debugging"
Baada
ya simu yako kutambulika,unaweza kuifanya simu yako tayari kwa kuiscan.
Tick kibox kimojawapo unachotaka. Kwa mfano, "Contacts", na Bonyeza
next kuanza ku scan.
Step 3 Ruhusu programu ku Scan Data zilizopotea
Note: Kabla hujaanza, tafadhari hakikisha betri lako linachaji zaidi ya 20%.
Unapopata
window kama ifuatavyo,rudi tena kwenye simu yako na bonyeza "Allow" ili
ku permit Superuser Request, na kisha bonyeza "Start" kwenye window ya
programu kuanza ku scan.
Step 4 Preview na rudisha namba za simu
Kama
umemaliza kuscan, unaweza kuziona zote zilizofutwa(ni rangi za chungwa)
au zisizofutwa(rangi nyeusi) contacts zinajipanga kwenye window kulia.
Chagua zote unazotaka na bonyeza "Recover" ili kuhifadhi kwenye PC.
Step 5 Check matokeo kwenye PC
Baada
ya kurudisha namba zako kwenye Kompyuta,unaweza ukaangalia contacts
ulizo restore kwenye folder ambalo linakuwa pop-up automatically. kwenye
folder, contacts zinahamishwa(exported) kwa format ya SCV, HTML na
Vcard.
Note: Baada ya kurudisha namba zako kwenye kompyuta, unaweza ukazihamisha/import zote kwenye simu yako.
Sasa, namba zako zote zilizopotea zimehifadhiwa kwenye kompyuta na kuzihamisha zote kwenye simu yako. na maisha yanaendelea.
Home
/
insi ya kurudisha Contacts kutoka kwenye simu yako iliyopotea/Contacts ulizofuta kimakosa.......Inaendelea
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
0 Maoni :
Post a Comment