Je simu yako itafungiwa kutumia Whatsapp? kufikia Mwanzoni 2017 Whatsapp ita saport baadhi tu za simu.
Kama ilivyotangazwa katika blog ya Whatsap, “Hivi karibuni tutasiktisha huduma za Whatsap kwenye baadhi ya Simu, kufikia tarehe 30, ya mwezi wa 6 mwaka 2017 hakutakuwa na huduma ya Whatsap katika Simu zifuatazo:
· Blackberry OS na BlackBerry 10
· Nokia S40
· Nokia Symbian S60
Zifuatazo ni aina ya Simu ambazo hazitopata huduma ya Whatsapp Mwanzoni kabisa ya Mwaka 2017
· Android 2.1 na Android 2.2
· Simu zinazotumia Window 7
· iPhone 3GS/Ios 6
Simu hizo haziwezi kupata huduma au hazitokuwa na uwezo wa kupata huduma hiyo kwa kuwa tunahitaji kupanua makala ya program yetu katika simu zijazo. Kama Unatumia kati ya hizo simu ambazo zitakazohathirika, Tunapenda kupendekeza kununua Simu za Android za OS 2.3 +, Window 8 +, au iPhone za Ios 7 + kabla ya mwisho wa mwaka 2016 ili kuendelea kutumia Whatsapp.
Mara baada ya kuwa na Moja ya Simu hizi au Vifaa hivy kufungwa, Ni rahisi unapakua Whatsap na kuhifadhi kasha fungua ili kuthibitisha namba yako ya simu kwenye Simu (kifaa) kingine kipya ili kuendelea kutumia Whatsapp. Kumbuka kwamba Whatsapp inaweza tu kutumika kwa namba moja tu iliyoko kwenye Simu.
Kwa sasa hakuna chaguo la kuhamisha Historia yako ya gumzo kati ya majukwaa “platform”. Hata hivyo tunatoa fulsa ya kutuma historia ya mazungumzo yako zinatokana na email.
0 Maoni :
Post a Comment