Je, Wajua? Mwaka 1822, Charles Babbage ndiye aliyetengeneza Kompyuta ya kwanza
Je, wajua? Doug Engelbart ndiye aliyetengeneza Kipanya cha kwanza cha Kompyuta (Computer Mouse) mwaka 1964 kwa kutumia mbao.
Apple Lisa ilikuwa compyuta ya kwanza kibiashara ambayo ilikuwa na mwonekano (graphical interface) wa GUI na kipanya (Mouse)
Je, Wajua? Jina “Macintosh” lilihamasishwa na Apple kwa jina la “mcintosh”
Je, Wajua? Watu wanasoma maandishi kwa utaratibu sana kwenye Kompyuta /screen (softcopy) kuliko kwenye kitabu (hardcopy)
Je,Wajua? Apple II ilikuwa na ukubwa wa 5 MB tu wa Hard Disk pale ilipozinduliwa
Je, Wajua? 1024 Gigabytes (GB) ni sawa na 1 Terabyte (TB)
Na 1024 Terabytes ni sawa na 1 Petabyte (PT)
Je, Wajua? Aliyeunda format ya file PNG alitaka litamkwe kama “ping”
Je, Wajua? Skype ilipigwa marufuku katika jamuhuri ya nchi ya china
Kivipi
ReplyDelete