Wengi wanafahamu Like,post na Comment tu,
Kama ni mgeni au hata mwenyeji wa kutumia Facebook, huende kuna vitu vingi huvijui matumizi yake kwenye account yako ya facebook. Tafadhari soma hapo ili ufahamu mengi zaidi kuhusu matumizi ya link/vitufe au menu za facebook:
1. Account Settings: Settings huwa zinatumika kulinda mambo yako kwenye account. Hapa unaweza kubadili jina lako u email, kubadili notification preferences, kuwasha ulinzi wa ziada, na mengi zaidi.
2. App: Facebook Apps zimetengenezwa kwa third parties na zimeongezwa feature nyingi zaidi na functionality kwenye facebook yako
3. Badge: Badge ni sehemu ya box ambayo inakuwezesha ku share profie lako la facebook, photos, au page kutoka website nyingine
4. Chat: Chat ni feature ambayo inakufanya wewe uweze kutumiana meseji na marafiki, na pia kuona ni marafiki wangapi wapo hewani kwa muda huo
5. Event: Tumia Event feature kuandaa matukio yako, kukusanya RSVPs, kujibu mialiko na kuweka nini rafiki zako wanafanya
6. Follow: Follow ni sehemu ambayo unamfuata kwa kuwa umependezwa naye, hata kama si rafiki yako. Kitufe cha follow unabofya kwa kuwa unahitaji kuona New Feed au updates zote zinazotumwa
7. Friend: Friends niwatu unaounganishwa nao kwenye facebook, ili kutumiana meseji na unaweza ukatuma ombi la urafiki kutoka kumdi linguine kwenye facebook
8. Groups: Facebook Groups yanafanya urahisi ku connect na mtu kutoka kwenye set hiyo ya watu, kama vile coworkers. Inakupa uwanja ambao unaweza ku share mambo yako kama photos, na documents na meseji kwa Goup linguine
9. Like: Unapobonyeza like inamaanisha unatoa positive feedback na ku connect na kitu ambacho unakijari, Unapo like kitu, tendo hutokea kwenye kurasa yako/timeline. Ku like post inamaanisha umevutiwa na alichotuma rafiki yako(hata kama hukuweka comment). Ku like page inamaanisha kuwa unajiunga kwenye hiyo pag, hivyo basi utaanza kuziona story nyingi za page kila zinapotumwa, na utaonekana kwenye page kama miongoni watu waliopendezwa na hiyo page
10. Messages: Meseji ni sawa na Private email message. Huwa ina tokeza kwenye Facebook inbox na ina include text message, chats, emails, na meseji za simu kutoka kwa marafiki wako wa facebook
11. News Feed: News feed daima constantly updating ya hadithi katkat homepage yako, ni pamoja na status updates, photos, videos, links, App activities na Liks kutoka kwa watu, pages na group.
12. Notes: Notes inakuwezesha ku publish meseji kwenye Rich-text format, inakupa flexibility kubwa na rahisi ku updates. Kwa nyongeza ku format text, unaweza kuongeza photos na ku tag watu wengine
13. Notifications: Notifications ni updates kuhusu shughuli zinazofanyika kwenye facebook. Kwa mfano, unaweza ukajulishwa kamaupdate imefanywa kwenye group ulilokuwepo au kama mmoja amekubali ombi lako la urafiki. Usiweke off notifications
14. Poke: Watu wanatumia Poke ili kumfanya rafiki yako awe attenyion na kusema hello. Unapo m poke mtu, atajulishwa kwa notification kuonesha ni nani aliyeku poke.
15. Profile: Profile ni mkusnyo wa photos, stories, na story zako zingine. Inahusiana na Timeline, Profile picture, biography, na personal information. Inaweza ikawa public au private, lakini ni kwa ajiri ya non-commercial use.
16. Search: Search ni sehemu ya kutafuta watu, posts, photos, places, pages, groups, app na events kwenye facebook
Bonyeza kitufe cha hapo chini kufahamu mengi zaidi yaliyofafanuliwa kwa lugha ya kiingereza
Home
/
Elimu
/
Je, hivi unafahamu matumizi ya vitu/term zote kwenye Facebook? Soma hapa kufahamu mengi zaidi
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 Maoni :
Post a Comment