Hebu nawe soma hizo hatua zifuatazo ili uweze kufurahia maujanja hayo:
HATUA YA KWANZA
Pakua/Download App inayoitwa Parallel Space au Disa app kwenye play store yako
HATUA YA PILI
Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili
HATUA YA TATU
Install application uliyo pakua/download “parallel space “ au Disa app, kisha ifungue.
HATUA YA NNE
Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka Namba ya simu hapo utaweka namba yako ya pili
ili uweze kuwa na whatsapp mbili
HATUA YA TANO
Utaendelea na hatua za kawaida kama ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja.
****** Tafadhari Comment Chochote kama hujaelewa *******
0 Maoni :
Post a Comment