Kama Akaunti yako ya mtumiaji haina Password unahitajika kuweka password kabla hujaruhusu Connection kwenye Remote Desktop.
JINSI YA KURUHUSU CONNECTIONS ZA KOMPYUTA ILI KUUNGANISHA KWENYE REMOTE DESKTOP
· right-clicking Computer, and then clicking Properties.
· Click Remote settings.
Kama wewe ni Mmiliki wa kompyuta (administrator), Akaunt yako moja kwa moja itaingizwa kwenye list ya remote User na unaweza kuruka na kuendelea hatua zijazo.
Kwenye Remote Desktop Users dialog box, Bonyeza Add
Kwenye Select Users au Groups dialog box, Fanya yafuatayo:
Ku specify Search location, Bonyeza Locations na pia chagua Location unalotaka kutafuta
Ingiza jina la kitu kuchagua, andika jina la mtumiaji kwenye Remote Desktop Users dialog box. Bonyeza OK, na kisha bonyeza OK tena.
Note;
Unaweza kuunganisha kompyuta ambayo iliyolala (sleep mode) au hibernating, hivyo basi hakikisha setting za sleep na hibernation zimewekwa Never. (Hibernation haipo kwenye kompyuta zote)
KUANGALIA JINA LA KOMPYUTA KWENYE REMOTE COMPUTER
Kwenye Remote Computer, Fungua Sytem kwa kubonyeza Start button
right-clicking Computer, na kisha bonyeza Properties.
Kwenye Computer name, domain, na workgroup settings. Unaweza ukatafuta jina la kompyuta yako kama ipo kwenye domain.
KURUHUSU REMOTE DESKTOP CONNECTIONS KUPITIA WINDOW FIREWALL
Kama kuna usumbufu katika kuunganisha, Remote Desktop connections inaweza kuwa blocked kwa Firewall. Hapa ni jinsi gani ya kubadili setting kwenye Window PC. Kama unatumia firewall nyingine, hakikisha port kwa Remote Desktop(kawaida 3389) ipo wazi.
Kwenye remote computer, Bonyeza Start na Chagua Control panel
Bonyeza System and security
Bonyeza Allow a program through Windows Firewall under Windows Firewall.
Bonyeza Change settings na kisha check the box next to Remote Desktop.
Bonyeza OK kuhifadhi mabadiliko.
KUANZA KUTUMIA REMOTE DESKTOP KWENYE KOMPYUTA AMBAYO UNAHITAJI KUITUMIA
Fungua Search box, Andika Remote Desktop Connection, na kisha kwenye list ya matokeo, Bonyeza Remote Desktop Connection.
Kwenye Computer Box, andika jina la kompyuta unayohitaji kuunganishwa nayo, na kisha bonyeza Connect.(Vile vile unaweza ukaandika IP address badala ya jina la kompyuta)
0 Maoni :
Post a Comment