Je, unahitaji kununua Simu mpya? Kama unatafuta Smartphone kali na yenye ubora kwa mwaka 2017, umefanya maamuzi sahihi na kwa wakati muafaka. Nimekuwekea Smartphone za ukweli uzikague na usome uwezo wa Simu na hata gharama zake za kununua kama utakwenda kwenye duka la kawaida kabisa kokote ulipo.

Ukweli ni kwamba unapohitaji kununua simu mpya, kwanza ni lazima utafiti ni simu gani bora kwako na unahitaji kwa matumizi gani hasa? Hebu peruzi hizo Smartphone kisha fanya maamuzi ya kuchagua simu inayokufaa kwa kuangalia na uwezo wako.
17. Sony Xperia Z5
Sony Xperia Z5ni Zao la Sony ya mwaka 2015, na ni model ya mwisho kabisa iliyotoka zikiwa zimepewa series za Z, na mpka kuwekwa au kubadili series ya X mwaka 2016 February. Ilivyozinduliwa ilikuwa imeboreshwa kwenye upande wa kamera na kuwekwa 23 - megapixel sensor, kama kwa sasa unavyoiona ndani ya ujaji mpya wa Xperia X model. Ni nzuri na ina perform vizuri.
INGIA HAPA KUISOMA ZAIDI >>
16. BlackBerry Priv
BlackBerry's Priv Ilikuwa ni kampuni ya kwanza kutoa simu za Android handset na simu ambazo za uhakika na nzuri,Slider handset yake inaukubwa wa 5.4 inchi display.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Maoni :
Post a Comment