OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kujiongezea Muda/kufanya muda uende taratibu ukiwa kwenye Internet Cafe bila muhusika kujua














Kwanza tuanze na ujanja huu: Ukitaka kupakua/download video kutoka site ya Youtube bila kutumia programu yeyote basi fanya hivi:

>> Bonyeza video unayohitaji kupakua ukiwa Youtube, kisha kwenye address au URL ya hiyo nyimbo nyuma ya youtube ongeza SS kisha bonyeza Enter, itakupeleka page ya kupakua kisha bonyeza DOWNLOAD




Sasa twende kwenye mada yetu tajwa: Jinsi ya kujiongezea muda ukiwa kwenye internet Cafe

Tafadhari Usifanye kwenye Maeneo ya biashara, kwani utakuwa umevunja Sheria na taratibu za ICT, hili ni somo tu kwa ajili yako, Fanya hivyo ukiwa unatumia internet ya kwako. Kama huwezi kufuata taratibu za ICT basi Usitazame Video hii chini. Kwa wale wote wanaotaka kujua hilo hebu tazama video hii fupi ili upate maujanja hayo.




Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment