OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kurekodi mazungumzo kwenye simu ya mtu bila yeye kujua

“Azima au muombe simu yake kisha set baadhi ya vitu kisha mpe simu yake, baadae ingia kwenye Programu ili kusikia mazungumzo yake yote ya siku”. Ni njia nzuri sana ya kusikia mazungumzo ya mtu baada ya kurecodi, ONYO:Tumia njia hii kwa lengo nzuri na si mbaya, kwakuwa unaweza kuvunja mahusiano yako au kusababisha madhara makubwa sana kijamii na hata kifo.



Unahitaji Vitu vitatu:

1. Uwe na Simu yake kwenye mikono yako

2. Programu ya Mobile Spy Software
3. Dakika 15-20 za muda, inategemea na Smartphone uliyonayo

Kama umehakikisha vyote umevifanya au umetekeleza kama vilivyoweka hapo juu, Sasa basi unaweza uka rekodi.

Hebu tuanze

HATUA 1: Pata simu yake kwenye mikono yako

HATUA 2: Install FlexiSPY kwenye simu na activate FlexiSPY

HATUA 3: Log kwenye dashboard ya FlexiSPY



HATUA 4: Bonyeza tab ya Control Center na kisha bonyeza Call Controls 



HATUA 5: Bonyeza Enable Call Recording 



HATUA 6: Set iwe On kama haikuwekwa


HATUA 7: Bonyeza Live Call Controls na kisha Manage Watchlist 



HATUA 8: Hakikisha Option zote zipo chini ya Global Options Zimekuwa checked

Baada ya kufanya hayo yote, mara tu wanapopiga simu kwenye smartphone, FlexiSPY itaanza kurekodi. Recodi hii itakuwa uploaded kutoka kwenye smartphone kwenye kwenye dashboard yako ya FlexiSPY online.

HATUA 9: Kusikia rekodi, Bonyeza Audiolmprint na kisha Calls



HATUA 10: Call ya kurecord huwa inaonekana ndani ya Dashboard ukiwa online


HATUA 10: Bonyeza Download ku Save Rekodi yako kwenye kompyuta kwa kusikia baadae.



Ndo hivyo tu!!

Natarajia utakuwa umefurahi kwa hilo somo, tafadhari usisahau kukoment au kutuma swali lolote kwenye page zetu na utajibiwa. ICT yetu ni yetu sote
Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

3 Maoni :

  1. Uko vizuri mzee
    Hongera sana kwa unachokifanya

    ReplyDelete
  2. If you have the following PC issues, I have the solution:

    Your computer is running slower than usual
    Does it take forever to run or load programs
    Your computer freezes up or crashes at random
    You are plagued by the Blue Screen of Death
    Computer errors frequently pop up and hassle you
    Your system takes forever to boot up or shut down

    You don't need technical expertise to use this software. Try it for a free diagnosis so you can pinpoint exactly how to boost system performance.

    http://www.registry-clean-up.net

    ReplyDelete