Fahamu ya kuwa kila siku hacker wanatengeneza programu za kushika
password za watu, programu hizo huwa zina tafuta Password kwa kuanza na
mfululizo wa namba au majina kisha baadae ndio zinaanza kuchanganya
namba na jina, lakini tambua password zinazotumia alama
mbalimbali(special symbol mfano:@,%,&,# n.k) ni password ambazo ni
ngumu sana kukamatwa na hizo programu zinazotumiwa na waarifu, na ndio
maana unapoingiza password ambayo inamfuatano wa namba bila
kuchanganywa. Kwa zile program/ system ambazo zinajari na zipo makini
kulinda taarifa zako huwa zinakupa meseji kuwa badilisha password yako,
uliyoingiza ni rahisi kutambulika kwa mtu mwingine yaani weak password,
Sasa unapochanganya namba, maneno na alama/symbol mbalimbali hiyo huitwa
strong password na ndio sahihi na vigumu kukamatwa na hizo program za
wezi, zingatia urefu zisipungue herufi 6. Unapotumia 1234 au 1111 au
jina lolote (namba zinazofuatana) ni ruhusa tosha ya kuhatarisha taarifa
zako za siri. Tumia muda kidogo kupitia hizo password ambazo ni mbaya
kuzitumia, “Kuwa makini na mambo yako ya siri, wezi wa mitandao bado
wapo, na kila siku wanatafuta mbinu”
BONYEZA HAPA KUTAZAMA HIZO PASSWORD
Tazama na videos hapo chipi njia mbalimbali za ma hacker:
Password Cracking
Jinsi ya Kuwa hacker
Baadhi ya Programu/tools wanazotumia Hacker
BONYEZA HAPA KUTAZAMA HIZO PASSWORD
Tazama na videos hapo chipi njia mbalimbali za ma hacker:
Password Cracking
Jinsi ya Kuwa hacker
Baadhi ya Programu/tools wanazotumia Hacker
0 Maoni :
Post a Comment