Kwenye Computer Security, hacker ni mtu ambaye ana focus kwenye security mechanism ya kompyuta na system ya network. Hacker daima huwa wanajifunza mbinu mbali mbali kwa lengo la kutatua tatizo kwenye system za kompyuta lakini baadhi wanatumia ujuzi huo kufanya ualifu kwa malengo yao binafsi, na ndio maana mpaka leo hacker wanavuma sana kwa wizi au uharifu kwenye mitandao. Wanakiuka maadili waliyofunzwa darasani.
Sasa kama na wewe unahitaji kujifunza kuwa hacker basi fuata kanuni na tarabitu zote, usijifunze kwa lengo la uharifu bali jifunze kwa lengo la kupanmbana na matztizo mbali mbali na kuwa msaada kwa jamii.
1. Unahitaji kutumia UNIX-like OS kama Linux. UNIX na UNIX-like OS ni operating system za internet. Ingawaje unaweza ukajifunza Internet bila kujua UNIX, huweza kuwa Internet hacker bila kujifunza UNIX. Kwa sababu hiyo, utamaduni wa hacker kwa sasa wapo strong sana na UNIX. Kuna aina nyingi sana za UNIX-like operating system, moja maarufu ni Linux, ambayo inaweza ika run kwenye Microsoft Windows kwenye mashine moja. Pakua Linux online na hifadhi kwenye kwenye kompyuta yako na anza kujifunza mambo mbali mbali hata kwenye mitandao juu ya UNIX.
2. Unahitaji kuijua HTML. Kama hujui jinsi gani yak u program, anza kujifunza basic HyperText Mark-Upp Language (HTML). Kama huna ufahamu juu ya HTML ni ngumu sana ku interruct na pages au site mbali mbali.
3. Jifunze lugha mbali mbali za Programming. Kabla hujaanza kuandika chochote kuhusu lugha za programming yapaswa uanze kujua kanuni za kila lugha.
Kuna aina nyingi sana za lugha zinazotumika na programmer baadhi ya lugha hizo Bonyeza hapa
MITAZAMO YA HACKER
i. Kufikiri ubunifu; Hacker ni kama wasanii wa maigizo au muziki au Philosophers na engginners. Wanaamini kuwa na uhuru na uwajibikaji wa pamoja. Wanapenda kushughulikia tatizo kwa umahili, ujuzi na lenye jibu sahihi kabisa bila kubahatisha.
ii. Kujifunza jinsi ya kupenda kutatua matatizo. Hakuna tatizo ambalo linahitajika kutatuliwa mara mbili. Hackers huwa wanaamini kuwa unapotatua tatizo basi uweke au share kwa watu ili pia wajifunze na kusaidia wengine.
iii. Jifunze kutambua na kupambana na mamlaka. Unapokuwa hacker unaweza ukakabiliwa na makosa mbali mbali ya ualifu katika serikari yako na hata nje, tambua unaweza kutana viongozi wa kimabavu. Bila kujua taratibu za mamlaka husika unaweza ukaingia hatiani.
iv. Kuwa mshindani. Kila mmoja anahitaji kuwa mahili kuliko mwenzake, tumia muda mwingi kujifunza mambo mbali mbali online.
4. Jifunze jinsi ya kutengeneza Open-source Software mbali mbali. Andika program ambazo hacker wengine waone ni nzuri kwa matumizi.
5. Publish/tuma Habari nzuri na zenye mafunzo kwa watu. Kitu kingine cha muhimu ni cha kuweka document inayohusu Maswali yaani Frequently Asked Questions(FAQ)
6. Jifunze miundo mbali mbali ya network na mingine
7. Linda utamaduni wa hacker wenyewe

0 Maoni :
Post a Comment