OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jibu maswali na Upate Mkwanja Cash Online fasta ukiwa umetulia somewhere

Pata pesa ukiwa umetulia nyumbani ukiwa na simu/tablet au kompyuta yako. Chakufanya ni kuingia kwenye mtandao yaani internet na kutembelea ICT yetu, kisha bonyeza kitufe kilichoandikwa Earn Money Online kilichopo upande wa kushoto mwa page, chini ya picha ya animated catoon. Soma maswali ya siku kwa usahihi na kisha jaza Form kwa kujisajili na kutuma majibu yako yote. Kisha utapokea ujumbe kwenye email au simu yako baada ya majibu yako kusahihishwa.



NOTE: Mkwanja atapata kwa yule aliyepatia maswali yote, kwa atakayekosa swali moja pia atapata ila kwa kiwango cha chini, Mkwanja wa siku ni kuanzia Tsh. 1,000/= hadi Tsh.10,000/= na kila thamani ya pesa itaandikwa juu ya maswali yanayotumwa kwa siku, kutegemea na ugumu wa maswali hayo.
Jifunze mambo mengi kupia ICT yetu, Majibu ya maswali pia yatatolewa baada ya washindi kupatikana, Tambua kwamba baada ya Washindi wa mwanzo Ishirini na tano (25) kupatikana, hutoweza kupokea ujumbe wowote kwenye simu yako au email yako unapojibu maswali, jitahidi kuwahi kutuma majibu yako mapema ili kuwahi nafasi ya kujishindia.

Mkwanja/Pesa zitatumwa kwa njia ya M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money, jitahidi kuandika namba ambayo imesajiliwa na huduma hizo kwani unapojisajili na kuandika namba yako ya simu ambayo haikusajiliwa tutashindwa kukutumia Mkwanja wako.


Bonyeza kitufe cha hapo chini ili kuanza kujibu maswali

http://ictyetu.blogspot.com/p/blog-page_43.html



******ICT yetu is the best**********

GET CASH ONLINE, Sponsored by: 
Miami IQ Tech & Ajakai ICT Services
Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

5 Maoni :

  1. Nimeipenda hiyo, mnajitahidi sana kutupa mafundisho mbalimbali ya technology

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante ZAWADI DOMINICK. Kazi kwako, Kama siku unahisi huna hata mkwanja wa vocha kwnye simu yako au hata nauli ya dala dala basi tembelea ICT yetu na jibu maswali tu!

      Delete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri, nasubilia hayo maswali kwa ham maana huwa napigika hadi buku

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante CLAUD MAVUKILO,Maswali yataanza next week.Wahusika wapo kwenye maandalizi ya kuandaa hayo maswali

      Delete