OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Kwa Wapenzi wa kusoma vitabu mbali mbali vya sayansi na teknolojia, Bonyeza hapa

Watu wengi huwa hatuna muda kabisa wa kusoma vitabu, hasa wa Africa. Kufikiri vizuri kunajengwa na kusoma sana kwa kuelewa kilichoandikwa, Unachohitaji ili kubadili maisha yako ni kusoma vitabu mbali mbali vinavyohusu fani/elimu yako/ujuzi wako.


Hebu tutazame baadhi ya faida za kusoma na kuelewa kilichoandikwa kwenye vitabu:


1. Kusoma ndiyo njia kuu ya kujifunza

Umuhimu wa kusoma katika maisha ya binadamu huanza tangua anapokuwa motto shuleni na kuendelea hadi anapokuwa mtu mzima. Ni dhahiri kuwa, wanafunzi wenye ustadi katika kusoma na wanasoma zaidi ndiyo wenye maendeleo mazuri masomoni na wanaofaulu mitihani.

Manufaa ya kusoma hayaishi masomoni bali huendelea hadi katika utu uzima. Kadri mtu anavyokuwa na uwezo mkubwa wa kusoma katika maisha,ndivyo kadri anavyojiongezea fursa ya kupata kazi nzuri. Siyo hivyo tu, bali ndivyo kadri anavyoweza kuifanya kazi yake vizuri zaidi.

2. Kusoma hukufanya uwe mtu bora

Kwa hakika kusoma kunaweza kukufanya uwe bora hata kuliko ulivyowahi kuwaza au kufikiria. Kusoma hukuongeza haiba yako kwa kukufnya uwe mtambuzi wa mabo mbalimbali, mchangamfu, mjanja kimaisha, na hata kuwa mvuto kwa awatu.

Yote hayo yatakufanya ufurahie maisha yako. Kila unaposoma habari za maisha ya watu mbali mbali ndivyo kadri utakavyojiongezea uwezo zaid wa kuwaelewa watu.





Baada ya kuema hayo machache hapo juu, basi sasa najua kama ni mwelewa waweza kufungua link za hapo chini ili kuanza kutazama vitabu mbalimbali vya sayansi na kuanza kusoma

Freebookcentre.net ni website ambayo vinapatikana vitabu vya kisayansi kama vifuatavyo:

Download Free Computer Science Books

Download Free Physics Books

Download Free Mathematics Books

Download Free Electronics Books

Download Free Medical Books


http://www.freebookcentre.net/

Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment