OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Unapofuta sms kwenye simu ya Android baada ya muda inarudi tena, How to Fix? [SOLVED]

Swali hili limeulizwa kutoka kwa mdau wetu wa ICT yetu, baada ya kutupigia simu akasema kuna meseji ya mwaka jana kila anapoifuta kwenye simu yake huwa inatabia ya kurudi tena, na hurudi pale anapoiwasha simu baada ya kuizima. Anajaribu kufuta tena na tena lakini inashindikana.



Baada ya kumpa maelekezo juu ya nini cha kufanya na ni nini kinachosababisha tatizo hilo, akajaribu kufanya kama tulivyomelekeza, hatimaye aliweza kutatua tatizo lake na kushukuru. Nawe pia tunakukaribisha kuuliza swali lolote kwa kutupigia simu au whatsapp (kama unahitaji kutuma video clip ya tatizo), au hata kwa email (0712404705, ulimwenguwaict@gmail.com).

Kama nawe una tatizo kama hilo basi jaribu njia zifuatazo:

NJIA YA KWANZA

1. Ingia kwenye Meseji Settings

2. Bonyeza Text message (SMS)

3. Bonyeza Manage SIM Card messages

4. Chagua line (line inayorudia meseji)

5. Kisha futa hiyo meseji utakayoona

NJIA YA PILI 


1. Kwenye simu yako ya Android, Fungua Google Voice app .
2. Fungua tab ya messages.
3. Fungua conversation.
4. Chagua meseji ambayo/zo unataka kufuta.
5. Bonyeza Delete.
6. Kisha hakikisha kufuta.

Kama hukufanikisha kwa hatua hizo hapo juu, basi usisite kuwasiliana nasi.

**ICT yetu is the best****







Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment