OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Unacheza Game/kutumia Simu au Laptop yako wakati ipo kwenye chaji, je unaweza kuharibu betri?

Tuanze na upande wa Simu: Ukiwa unacheza Game wakati Simu ipo kwenye chaji haina uharibifu/athari ya moja kwa moja, Tatizo moja tu ni kwamba:



Betri huwa linapata moto sana wakati unapochajisha, na simu pia inapata joto wakati unacheza Game. Sasa wakati unapocheza Game wakati simu ipo kwenye chaji, simu inapata moto zaidi na tunajua kwamba maisha ya betri joto linapozidi sana huwa ni mafupi, ili maisha ya betri yawe marefu basi unahitaji kutopatisha betri la simu yako kliasi cha joto jingi. Hivyo basi si vizuri kucheza Game au kuchati na simu wakati ipo kwenye Chaji.



Kwa upande wa Laptop:


Karibu betri zote ni ya teknolojia ya Lithium (wengine wanasema Lithium Ion, lakini nyingi ni Lithium polymer) ambazo hulipuka wakati zinapokuwa overcharged. Kwa sababu hiyo, betri zina mzunguko wa umeme ambao huzuia overcharging. Zaidi au chini, punde tu betri inapofika 100% kamili, betri kukatwa kutoka mzunguko wa umeme (cut off from the circuit). Kwa hiyo, kwa kutumia kompyuta wakati imechomekwa haina athari kubwa kwa betri moja kwa moja.



HATA HIVYO, Laptops inaweza kuzalisha kiasi cha joto. Na joto hili hasa kuharibu LiPo batteries. Hivyo basi unapochajisha laptop yako na kuitumia wakati ipo kwenye chaji unapunguza maisha ya betri, ni vema kutumia laptop baada ya kufikia ailimia 100% na kui disconnect kwenye umeme.


Zifuatazo ni baadhi ya njia za kuongeza Uhai wa Betri La Laptop/Simu yako


1. Zima App au program ambazo huzitumii kwa wakati huo, kwa mfano Bluetooth, WiFi, GPS Service na zinginezo

2. Fifisha Mwanga; Punguza mwanga wa screen yako kwa kuwa inatumia power nyingi sana.

3. Zima muungurumo/milio. Unapo acha simu yako ikiwa inaita mara kwa mara kwa sauti, tambua kuwa simu huwa inatumia umeme mwingi sana pale inapounguruma.

4. Epuka Wallpaer zinazobadilika badilika yaani animation

5. Epuka kuweka setting za “Automatic Updates”




JIFUNZE KWA PICHA MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA














Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment