Ukiwa na Akaunti ya Google, unaweza kutazama video mbalimbali na kujisajiri kwenye vituo/chaneli mbali mbali. Hata hivyo, bila chaneli ya YouTube, huna uwepo wa umma kwenye YouTube. Hata kama una Akaunti ya Google, unahitaji kutengeneza channel ya YouTube ili kupakia video, maoni, au kuweka orodha za kucheza. Unaweza kutumia kompyuta au simu ili kutengeneza Chaneli ya YouTube.
1. Ingia/sign in kwenye Youtube kwa kutumia Kompyuta au Simu ya mkononi
2. Baada ya kuingia/sign in bonyeza “My chanel” kisha bonyeza “Use a business or other name”
Hapa utakuwa umeweza kutengeneza Akaunti yako ya biashara kwenye Youtube
3. Chagua jina lako la biashara. Sehemu hii ni muhimu sana kwani ni lazima uwe na uchaguzi sahihi litakalokuwa rahisi kukumbuka. Ni vema jina lako la biashara lisiwe refu sana.
Usisahau kuweka video ambazo hazitakuletea matatizo ya kuwa na hakimiliki ili kuepuka matatizo mabali mbali ya mitandaoni na kuanza kuingiza kipato bila wasiwasi, Cha msingi watu ni kutazama tu video zako utakazoweka
Kutengeneza Akaunti yenye Channel ya Biashara
Fuata hatua zifuatazo ili kumiliki Chaneli yako binafsi kwa kutumia Akaunti yako ya Google:1. Ingia/sign in kwenye Youtube kwa kutumia Kompyuta au Simu ya mkononi
![]() |
Jaza Sehemu zote ili kutengeneza Email yako Au kama tayari unayo Google Account 'gmail' Basi Sign in |
2. Baada ya kuingia/sign in bonyeza “My chanel” kisha bonyeza “Use a business or other name”
Hapa utakuwa umeweza kutengeneza Akaunti yako ya biashara kwenye Youtube
3. Chagua jina lako la biashara. Sehemu hii ni muhimu sana kwani ni lazima uwe na uchaguzi sahihi litakalokuwa rahisi kukumbuka. Ni vema jina lako la biashara lisiwe refu sana.
Usisahau kuweka video ambazo hazitakuletea matatizo ya kuwa na hakimiliki ili kuepuka matatizo mabali mbali ya mitandaoni na kuanza kuingiza kipato bila wasiwasi, Cha msingi watu ni kutazama tu video zako utakazoweka
0 Maoni :
Post a Comment