OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kufuta Akaunti yako ya yahoo moja kwa moja

Je, Unahitaji kufuta Akaunti yako ya yahoo? Wakati mwingine unakuwa na Akaunti ambayo inakusumbua au huitaji kuitumia tena na kufungua nyingine, Sasa ni vema kufuta Akaunti ya zamani maana haitokuwa tena na kazi.



Basi ondoa shaka kwakuwa umetembelea kurasa zangu, twende pamoja:

Fungua internet yako yaani (browser) sehemu ya kuandika anuani (address) andika "edit.yahoo.com/config/delete_user" kisha peruzi au bonyeza "Enter" Itakupeleka sehemu ya kuingia akounti yako ya yahoo (kama ulikuwa hukuingia awali) ila kama ulishawahi fungua yaani Akaunti yako ipo hewani basi, Utaingiza maneno utakayopewa ili kuhakikisha kuwa wewe siyo roboti au mashine, Kisha utakuta sehemu mbili "Terminating your Yahoo! Account" na linalokataa kama huitaji kufuta.

Unapokubali Yes, Utaruhusu kufutwa kwa Akaunti yako, kisha Futa Malizia kufuta.




Asante !! Endelea kutembelea kurasa zetu ili kupata mafunzo mengi zaidi...............
Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment