OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya Kurekebisha (Fix) Meseji mbali mbali za kompyuta iwapo haitaki kuwaka kawaida

Tazama video fupi fupi za kurekebisha meseji za tatizo kwenye kompyuta yako, baadhi ya meseji hizo ni kama :

1. "the Diskette Drive 0 Seek Failure "

2. "Alert ! System Battery voltage is low

Swali kutoka kwa Mdau: "Ni kama miezi minne iliyopita kompyuta yangu ilionesha meseji ya tatizo "Diskette drive 0 seek failure" kwenye kioo cha kompyuta yangu ikiwa ina rangi nyeusi, Baadhi ya watu wakasema ni tatizo la "Hard disk" imekufa, wengine wakasema ni tatizo la Beti ya kompyuta." 

 

 

 

 

 

 

1.  How to FIX "the Diskette Drive 0 Seek Failure "

 

2. How to FIX  Alert ! System Battery voltage is low

 

   

Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment