Kama unatumia Kompyuta aina ya Desktop basi hakikisha Kompyuta zako zote zinakutana, yaani zipo kwenye muungano "Network" Kisha fuata hatua zifuatazo:
>> Ingiza Modem yako kwenye kompyuta moja wapo
>> Unganisha "Connect" na internet
>> Bonyeza kulia (Right click) sehemu ya network kwenye komputa yako "network icon" ipo sehem ya chini upande wa kulia mwa kioo chako "screen"
>> Chagua "Open network and sharing center"
>> Bonyeza Wireless Terminal
>> Properties
>> Sharing
>>Tiki sehemu zilizo andikwa "Allow other network user ................."
>> OK
>> Kompyuta ya itapewa Anwani yake pekee mfano: 192.168.137.01
>> Kisha iruhusu kwa kubonyeza "OK"
Baada ya hapo, Kompyuta zote ambazo ulizounganisha kwenye mtandao mmoja "network" zipata internet kama zimewekwa mpangilio wa "Dynamic address".
"Kama hufaham jinsi ya kuziweka Dynamiv tafadhari Andika Maoni yako, ili nikusaidie"
TAZAMA VIDEO FUPI JINSI YA KUFANYA KAMA HUJAELEWA;
TAZAMA VIDEO HII KAMA UNATAKA KUUNGANISHA MODEM YAKO KWENYE ruta "ROUTER"
0 Maoni :
Post a Comment