OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kuiponesha Memory Card Au Flash yako inayosumbua kusoma kwenye Kompyuta

Ni kweli unaweza changanyikiwa kama unakutana na hilo tatizo na ukizingatia kuna mambo yako mengi umeyahifadhi na hukujua kama ingetokea hivyo ghafla, Wala usichanganyikiwe kuwa na furaha kwa kuwa umetembelea kurasa zangu basi tambua "Hakuna kinachoshindikana". Sasa huwa inakuwa hivo:-

Wakati mwingine unaweza ukajaribu kuifungua flash au memory card yako kwenye Kompyuta, utakuta inaonesha meseji “You need to format the disk I n drive before you can use it” na unapobonyeza “format” inakupa tena meseji ya makosa kuwa “Window was unable to complete the format” Ni kweli unaweza ukachanganyikiwa na ukifikiri ni kwamba kuna mambo yako mengi umeyahifadhi kwenye hiyo flash/memory card.







Hebu okoa vitu vyako sasa kwa kutazama video hii fupi. Nimeamua kukuwekea video hii ili ufuate hatua “waswahili husema Matendo ni bora kuliko maneno” Kama kawaida yetu unaposhindwa kurekebisha basi andika maoni yako hapo chini ili nikusaidie zaidi…..Asante


Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment