OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Kwanini huruhusiwi kuchajisha Simu yako wakati wa usiku unapolala mpaka asubuhi ?

Huwa unachajisha simu yako unapopanda kitandani ukilala usiku wote?, huwa unafikiri kuwa ni vema inapofika asubuhi simu yako iwe imejaa chaji labda huenda umeme utakatika au uende sehemu na simu ikiwa imejaa full chaji. Ni wazo nzuri, ila kuna vitu yapaswa uvifahamu.



Watu wengi huwa hawatarajii kuwa simu zao zaweza ishi zaidi ya miaka miwili, hiyo ni kwa sehemu nyingi, Mtaalam alisema. Watu huwa hawafikiri kabisa kuhusu uhai wa beti la simu yake zaidi ya kununua Simu mpya pale inapomsumbua.

Simu nyingi hufanya kutumika kwa teknoloji ambayo inayoruhusu beti kupokea umeme (current) kwa haraka. Teknolojia inawezesha simu kurekebisha kiwango cha chaji ambayo chaja inauwezo wa kusambaza chaji.

Teknoloji inaruhusu nguvu ya umeme kupiga mpaka kwenye beti katika modulesheni maalumu, kuongeza mwendo kasi ambapo Lithiumions ndani ya beti husafiri kutoka upande mmoja hadi mwingine na kusababisha beti kuchajika kwa haraka zaidi. Ila hiyo hali/hatua vilevile husababisha Lithium-ion (na Lithium-polymer) ya beti kupata moto kwa haraka zaidi. Unapochaji kwa haraka muda wote unapunguza maisha ya beti lako.

Kama umedhamiria kuitunza Lithium-ion ya beti zaidi ya muda wa kuishi wa simu yako au tablet, nakushauri utumie chaja ambayo inatoa nguvu ndogo zaidi ya Chombo chako, japo sito kwambia kuwa inaweza kufanya kazi. Kwa mfano kama utatumia chaja za simu za iPhone kwenye iPad Pro, itachaji taratibu sana. “Kama umeme upo sawa, ni dhahiri kuwa unaweza ukatunza beti kwa kuwa wakati wote inachaji kwa taratibu.




Watu wanaotaka kutunza beti zao wahakikishe kuwa simu zao hazipati moto sana (kuchemka), Kwasababu joto jingi na husababisha kusagika (react) kwa Lithium-ion ndani ya beti, na hupelekea kuzorota kwa haraka. Tuvuti ya Apple walisema joto zaidi ya nyuzi joto 35 huweza “kuharibu kabisa uwezo wa beti”




***Unapochaji simu kwa muda mrefu yaani wakati wa kulala usiku mpka asubuhi husababisha simu kuchemka sana na kuharibu au kufupisha uhai wa beti lako***




Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment