OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Je, unahitaji kurudisha Faili zako ulizofuta kwenye simu yako? Ni rahisi sana..

Wakati mwingine unaweza futa mafaili yako kama vile Picha, Video, nyimbo na mengineyo kwenye simu yako kwa bahati mbaya, na ukashindwa kupata ufumbuzi. Ondoa hofu kwa kuwa umetembelea blogu yangu utaweza kurudisha mafaili yako yote ya muhimu uliyofuta kipindi cha nyuma.




Kuna programu nyingi zinazotumika kuweza kurudisha mafaili na nyaraka zingine ulizohifadhi kwenye simu, Moja ya programu nzuri inaitwa DiskDigger, hii ni programu inayopatikana kwenye Playstore ya simu yako na ni bure kabisa kuipakuwa na kuhifadhi ili kuweza kuanza hatua za kurudisha mafaili yako yaliyopotea.

Bonyeza Hapa ili kupakuwa hiyo programu >>>

Baada ya kupakua na kuhifadhi kwenye simu yako basi fuata hatua zifuatazo hapo chini, nimekuwekea video fupi ili iwe rahisi kuona na kufanya vile anavyofanya. Kama hukuweza kufuta hatua hizo tafadhari Andika Comment yako ili niweze kukusaidia Asante.




Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment