INTERNET ilizaliwa miaka 40 iliyopita, kwenye maabara ya chuo kikuu cha Califonia, Los Angels. Leo katika sayari yetu kuna watu kama bilioni 1.5 wanatumia huduma ya internet kwa shughuri mbalimbali.
Nikweli kuwa internet inafanya maisha yawe ni rahisi sana, na ndio inayofanya dunia iwe kiganjani.
Sasa basi, hivi ni nguvu gani inachagiza internet ?, Inakuwa kwa kiasi gani na hivi milele itafuka yenyewe?
Hebu tuone maswali ambayo wanasayansi wetu walijiuliza na kupata Majibu:
1. Ni nani anaye dhibiti (control) internet?
Hivi kuna mtu yeyote anayedhibiti internet kwenye shirika au nchi yeyote?
· Jibu rasmi ni kuwa Hakuna yeyote, ila baadhi nusu wanaamini na baadhi wanamezea tu
2. Wanaweza kuwa na ufahamu binafsi wa net?
· Muundo/mfumo wa internet unafanana kabisa na mfumo wa ubongo wa mwanadamu,
Ni rahisi kuchora mistari minyoofu kati ya ubongo wa mwanadamu na muundo wa muungano wa internet ulivyokuwa.
3. Hivi net Inaukubwa gani?
· Mwaka 2008, Google walitangaza kuwa Mfumo wao ulisajiri kurasa za kipekee zipatazo trillion – ila hata hivyo ingeweza kuwakilishwa na sehem tu ya inayotoka.
4. Hivi kuna internet moja tu?
· Internet haipo kwa vitu sawa bali ipo mchanganyiko wa computer nyingi zilizounganishwa kwa pamoja na vifaa vingine, Muungano wa mawasiliano ya lugha. Wengi ambao wanakuwa na muungano huo ni Sehemu za vyuo vikuu, Biashara na sehemu nyingine.
5. Hivi internet imejificha sehemu gani ya giza?
· Kuna sehem nyingi za hewani, ambazo unaweza ukayafanyia kazi na ukawa mwangalifu kuyaepuka
6. Hivi internet inaumiza/haribu mazingira?
· Internet ina sehemu au uwanja wa kupitisha mawasiliano kutoka sehemu moja hadi nyingine, Kutuma email kupitia bahari ya Atlantic haiunguzi mafuta yeyote yaliyokwenye mirija yake, ila internet haipo bila yenyewe na uwanja wake wenyewe.
7. Hivi tunaweza tukaizima internet?
· Hata kama yatakuwa mashambulizi makubwa ya internet ya kusababisha kuangushwa kwa mtandao, Serikali haiwezi………..
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 Maoni :
Post a Comment