Vitu vingi vinavyotumwa kwenye kurasa za youtube au facebook ni watumiaji wa kawaida, baadhi ya picha au video zinaweza kuwa siyo nzuri kwa watu wenye umri mdogo. Kama una watoto na unamiliki kompyuta ambazo zinatumika kwenye araiki ya watu kama internet café, au hata maofisisni, basi unaweza ukazuia kurasa hizo ili mtumiaji asiweze kuzitembelea bila ya yeye kujua kirahisi jinsi ya kuzitegua ili zifanyetena kazi.
Njia moja rahisi ya kuzuia ni kuongeza jina la mtandao kwenye faili la liitwalo “hosts” kwenye kompyuta yako, na kufanya irukia kwenye kurasa (page) ambayo uliyoweka badala ya youtube au facebook pale mtumiaji anapoingia.
Fuata hatua zifuatazo kuweza kuzuia:
1. Washa na ingia kompyuta yako kwa password ya mmiliki
2. Bonyeza “Start” na andika “run” (sehemu ya searching). Kasha bonyeza “Enter”. Kurasa ya “Run” itajifungua
3. Andika “notepad c:\WINDOWS\system32\drivers\etc\hosts” Kwenye sehemu ya “Open” na kasha bonyeza “Enter”
(Au waweza kufungua faili la hosts kwa kutumia notpad, hili filo linapatikana kupitia njia iliyoandika hapo juu yaani anza kufungua Local disk c >WINDOWS>system32>drivers>etc>hosts (fungua faili la hosts kwa notpad) yaani Open with notpad kwa rghtclick option)
4. Baada ya kufungua faili la hosts kwa notpad sehemu ya chini andika kama ifuatavyo kama picha inavyoonesha hapo chini
5. Kisha bonyeza “File” sehemu ya juu notpad kisha “Save” ili kutunza ulichobadili
6. Ingia sehemu ya search yaani bonyeza start (kwa window 7) kisha sehemu ya kusearch andika "gpupdate" kisha Enter ili kuhifadhi mabadiliko. AU
Izime na kuiwasha kompyuta yako. Mtumiaji ambayo atatembelea/ kuingia facebook au youtube atapata meseji ya tatizo inayoandikwa ”Could not connect to database server ”
TAZAMA VIDEO HII FUPI JINSI YA KUFANYA:
* Kama umeshindwa kufanya hivyo na unahitaji sana kuzuia mitandao hiyo tafadhari Acha Commeny yako hapo chini ili niweze kukusaidia zaidi *

Na Kwa Sisi ambao tunatumia computer ambazo battery lake mpaka ufungue nati hakuna means nyengne
ReplyDelete