Ni kweli kwamba watumiaji ni wengi sana kwenye mitandao ya kijamii, Je, wao wananufaika na nini? Mitandao kama Facebook, Twitter ina mamia ya mamilioni ya watumiaji na ni maarufu sana. Hata hivyo kuna jambo huwa tunalisahau siku hadi siku kuwa mitandao hiyo ipo kwa ajili ya biashara. Tambua kuwa mitandao hiyo inahitaji kuwa a wafanyakazi na pia wanahitaji kulipwa. Sasa swali ni kwamba wanapataje pesa.
Ni kweli, njia ya kawaida ya mitandao kuingiza mapato ni kuruhusu makampuni kutangaza kwenye mtandao, Kujitangaza kwenye mitandao ni soko mojawapo, kwasababu kuna mamilioni ya watumiaji wa mitandao ya kijamii, na makampuni yanaweza kulipa pesa nyingi kupitia matangazo yao. Na tambua kwamba watumiaji wa mtandao wanapokuwa wengi zaidi na pato la pesa utapata nyingi zaidi.
TAZAMA VIDEO FUPI UONE JINSI FACEBOOK WANAVYOINGIZA PESA:
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Maoni :
Post a Comment