Usipoke Simu yako wakati ipo kwenye Chaji “unaichajisha” Je, Kwanini ni hatari? Soma hapa
Siku chache zilizopita, Mtu mmoja alikuwa anachaji simu yake ya mkononi nyumbani. Kwa wakati huo Simu yake ikaita wakati bado ipo kwenye chaja (kwenye umeme), akaipokea bila kutoa kwenye umeme. Baada ya sekunde chache umeme ukasambaa mpaka kwenye simu ya kijana na kutupwa mpka kwenye sakafu, Kama unavyoweza kuona kwenye picha, na simu ikalipuka.
Wazazi wake walimkuta bado anafahamu na vidole vyake kuungua moto, Alikimbizwa Hospitali ya jirani, lakini aligundulika na madaktari kuwa ameshakufa baada ya kuwasili hospitalini hapo.
Simu ya mkononi ni muhimu sana kwa maisha ya sasa, Hivyo basi unatakiwa kuwa na ufahamu kwamba inaweza pia kuwa chombo cha kifo “yaweza kukuua” Kamwe usitumie simu ya mkononi wakati unachajisha kwenye umeme! Kama utapigiwa unashauriwa kuichomoa kwenye umeme na kupokea simu yako.
0 Maoni :
Post a Comment