OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya Kukarabati/Repair Windows 8 kwenye Kompyuta yako Kwa kutumia Automatic Repair



Window 8 huwa inakuwepo na Recovery feature inayoitwa Automatic Repair ambayo inajaribu automatically kutambua na kurekebisha common issues ambazo zinaweza kusababisha Window 8 isiwake kawaida (not start properly)

Mara baada ya kuanza , ita scan setting mbali mbali, configurations options, na System files kwa mafile yaliyo corrupt pamoja na settings.Kama imetambua kitu chochote, moja kwa moja hujaribu kurekebisha.

Ili kupata Automatic Repair kwenye mazingira ya Window Recovery unatakiwa kwenda kwenye Windows 8 start screen na andika Advanced



Sasa bonyeza Option inayoitwa Advanced startup options na utakuwa umeletewa General PC Settings Screen. Vuta hadi chini mpaka uone Option inayoitwa Advanced startup. Bonyeza kwenye Restart Now na Window 8 ita restart kompyuta yako na nenda moja kwa moja kwenye Advanced Startup options Menu.



Sasa bonyeza troubleshooting na kisha Advanced options. Wakati screen ya Advanced option inafunguka, bonyeza kwenye Automatic Repair option. Kompyuta yako automatic ita reboot na itaonesha screen ambapo windows states ina prepairing Automatic Repair. Wakati imekamilika, utakuwa umeonyesha screen ambapo unahitaji kuchagua akaunti ya Administrator ambayo unataka kuingia kwa.



Tafadhali bonyeza Akaunti unayotaka kutumia. Kama akaunti yako ina password, unatakiwa kuingiza na kisha bonyeza Continue ili kuendelea na Automatic repair. Automatic itaanza na kujaribu kutambua tatizo la kompyuta yako.



Automatic repair itaanza mchakato na kuchua muda kidogo, hivyo tafadhari kuwa na subira wakati Automatic Repair inajaribu kupata tatizo na kukarabati window 8. Wakati wa mchakato huu kompyuta yako inaweza kuwasha upya. Hii ni kawaida kabisa na usiwe na wasi wasi. Mara baada ya Automatic repair inapokamilika mchakato wake, itakuambia kama ilikuwa na uwezo wa kutengeneza kitu chochote. Kama imeshindwa kutengeneza itakuwa inaonesha na kuuliza haraka kama unataka ku shutdown au kutumia baadhi ya zana zingine.




Katika hatua hii, kama kompyuta yako bado haiwezi kuwaka(start up), unapaswa kubonyeza Advanced option, ikifuatiwa na troubleshoot, na hatimaye Advanced option. Kwenye Screen hii unaweza kuchagua zana nyingine kutumia kwa kutambua tatizo lako.

TAZAMA VIDEO FUPI JINSI YA KUKARABATI/REPAIR



Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment