Inavyoonekana ni kama laptop ya kawaida ila unapoifungua kwenye kioo kikuu vingine viwili vinachomoka upande wa kulia na kushoto na kujipanga.
Kila kioo kimoja kina ukubwa wa inchi 17, na display yake ni za kiwango cha juu cha HD,4K
Uwepo wa vioo vitatu vinamfanya mtu afikiri laptop hiyo itakuwa nene sana pale itakapofunikwa, la hasha wamejitahidi kuifanya isiwe nene sana. Ina unene wa inchi 1.5, Kampuni ya Razer bado hawajatoa muda rasmi ambao laptop hizo zitaingia sokoni.
TAZAMA VIDEO ZA MAONESHO NA INAVOONEKANA LAPTOP HIYO
Are you interested in carrying a laptop that features 3 4K displays?
Go beyond extreme with the world's first automated triple display gaming laptop
0 Maoni :
Post a Comment