OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Je, unahitaji kuunganisha Printer yako kwenye Network ya Ofisini au nyumbani kwako? Ingia hapa

Class nyingi za printer, mara nyingi huitwa Network Printers, hasa zimeundwa kwa ajili ya kuunganishwa moja kwa moja na mtandao wa kompyuta. Ofisi kubwa au biashara kubwa kwa muda mrefu hujumuisha printer hizi katika mitandao ya kampuni zao kwa ajili ya wafanyakazi wao kushiriki/sharing. Jifunze hatua hizo chache na tazama video fupi niliyokuwekea ili ufanye kwa vitendo

Unganisha network printer kwenye Windows 10
  1. Washa printer yako na hakikisha imeunganishwa kwenye network.
  2. Fungua Control Panel
  3. Bonyeza Hardware and Sound.
  4. Double-click  Add a printer icon.
  5. Chagua "Add a network, wireless au Bluetooth printer" na bonyeza Next.
  6. Acha Windows iscan printer na itambue, Chagua printer na bonyeza Next. Kama printer haikuorodheshwa, Bonyeza "printer ambayo ninayotaka haikuorodheshwa" na skip ku add printer kwa jina au TCP/IP address.
Kama unajua jina la printer, Chagua "Select a shared printer by name" na ingiza path ya printer. Kwa mfano, kwa kutumia jina la network "ICT yetu" na  printer jina ni "hp",  network path itakuwa: "\\ICT yetu\hp".
Kama hujui path ya printer, Lakini printers IP address, chagua "Add a printer using a TCP/IP address au hostname".

Bonyeza Next.

7. Kama unapokuwa una install, Windows ikakuuliza drivers, point location ya printer drivers zako. Kama huna drivers, ingia printer drivers

TAZAMA VIDEO

Unganisha network printer kwenye Windows 8

Unganisha network printer kwenye Windows Vista & 7

Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment