OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya Kufuta Comment yako au ya Mtu mwingine kwenye Facebook

Kuna wakati mwingine unaweza ukakosea kuandika Comment kwenye Facebook. Sasa unaweza ukafuta Comment Fulani na post zako kwenye Facebook kwa kutumia Facebook App ya Simu au kwenye Kompyuta. Comments ambazo umeziandika wewe pamoja na Post zote ulizotuma unaweza ukazifuta, Lakini Comments na Posts ambazo hukuziandika wewe ambazo si za kwako hizo ni ngumu kuzifuta Mpaka utumie App Fulani, App hiyo nitaelekeza katika kipindi kijacho. Cha kufanya endelea kutembelea ICT yetu.



Sasa hebu tuone hatua za kufanya ili kufuta Comment au Post zako kwenye Facebook:
1. Ingia Kwenye Akaunti yako ya Facebook

2. Kama umefungulia kwa kutumia Kompyuta basi Bonyeza sehemu unapotumia ku log Out akaunti yako kama inavyoonesha hapo chini



3. Bonyeza Activity Log

4. Kisha upande wa kulia chagua Menu unayohitaji , kama unahitaji kufuta Comment basi Chagua Menu iliyoandikwa Comments

5. Tafuta Koment yako,Kisha Bonyeza Edit (alama ya pensel), kisha Delete

Au kwa Njia Nyingine unaweza Kufungua Comment yako na kufanya kama ilivyooneshwa kwenye picha hapo chini



Hata kama unahitaji kufuta Post, chagua Menu ya Post.

Mpaka hapo utakuwa umefuta Comment yako


Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment