OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Laptop yangu ina Window 8, nahitaji kuweka window 7 ila haitaki ku boot, nifanye nini? [Solved]


Nina Laptop aina ya Toshiba Satellite U940-B484 (PSU6VV). Ina window 8 lakini nahitaji kuweka window 7 kwa kutumia bootable flash.

Tatizo ni kwamba, haitaki ku boot kwenye flash na nimejaribu kuweka mara nying option ya flash kwenye mpangilio wa ku boot kwenye Bios lakini bado haitaki.

Msaada tafadhari…



MAJIBU KUTOKA ICT yetu

Asante kwa kuendelea kutembelea page zetu, na Asante kwa swali lako.













Ondoa shaka ni rahisi sana na tatizo lako limekwisha. Ingia kwenye Bios setting endelea kuweka first priority ya USB FDD. kisha unapaswa kubadili setting ya UEFI Kwenda “Legacy” au “CSM”

Kisha reboot tena laptop yako. Nafikiri Tatizo lako litakuwa limekwisha. Asante


TAZAMA VIDEO HII JINSI YA KUBADILISHA UEFI KWENDA Legacy



Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Maoni :

Post a Comment