OFA!! OFA!! - PATA MSAADA KWA WATAALAMU WA IT BURE, TEMBELEA TUVUTI KWA KUBONYEZA HAPA AU WHATSAPP: +255678 920112
News
Loading...

Jinsi ya kurudisha Contacts kutoka kwenye simu yako iliyopotea/Contacts ulizofuta kimakosa

Kama umefuta namba ya simu kutoka kwenye Contacts zako au umepoteza simu na unahitaji kurudisha contact zako zote, ni rahisi sana unaweza ukazirudisha Contacts hizo kutoka kwenye Account yako ya Gmail, kama ulikuwa umefanya backup kabla ya. Lakini swali ni kwamba je unaweza ukapata hizo Contact hata kama hujafanya backup?

Kwenye Sehemu hii nimekuwekea njia mbili ya kurudisha Contacts zako kwenye simu yako ya Android, Kama vile Samsung Galaxy S7, Google Pixel na OnePlus 3T. Lakini kabla hujatafuta njia sahihi ya kurudisha data zako, unatakiwa kwanza ujihakikishie kuwa kweli umepoteza Contacts zako kwenye simu. Sasa Angalia yafuatayo.

Part 1: Angalia kama kweli Contact zako umepoteza na hazipo kwenye simu, maana isije ukasema imepotea kumbe imejificha sehemu,kama ni kweli imepotea kabisa na hukuona. Fuata hatua zifuatazo kuhakikisha:

1. Nenda kwenye "Contacts" kwenye simu yako.

2. Bonyaza kwenye Menu button upande wa juu-kulia pembezoni mwa screen na Chagua "Contacts to display".

3. Chagua "All contacts" na check kama itaonesha Contact unayotafuta.


Kama umehakikisha kwamba kweli Contacts zako zimepotea, ondoa shaka, Tafadhari endelea kusoma ili urudishe data zako zilizopotea.

Part 2: Rudisha kutoka kwenye Gmail Backup kama unaweza ku backup data zako kama vile Contacts kutoka kwenye simu ya Android kwenda Gmail Account, unaweza kufanya hivyo. Lakini unatakiwa uwe makini kwamba "Back up and sync" ipo on, Hivyo basi inaweza ku backup data automatically kwenda kwenye Google Account. Sasa tafadhari check mwelekezo hapo chini jinsi ya ku restore contacts kutoka kwenye Google Account:

1.Ili kurudisha Contacts kutoka kwenye Gmail contacts, Tafadhali ingia kwenye Gmail Acount yako and na nenda kwenye inbox.

2.Chagua "Contacts" kutoka kwenye dropdown menu upande wa pane ya kushoto. Bonyeza kwenye "More > Restore contacts…" huenda unaweza kuona list za Contacts au la.

3.Kwenye pop-up window, unaweza kurudisha Contacts ndani ya siku 30. Chagua tarehe/data na kisha bonyeza "Restore".


Part 3: Jinsi ya kurudisha namba kutoka kwenye Android Phone, Hapa ni ya kushangaza na njia sahihi ya kurudisha kwa haraka Contact zilizofutwa au kupotea. Inahitajika Android phone Contacts recovery tool: Android Data Recovery, itakuruhusu kutofuta na kurudisha namba zako za simu moja kwa moja,na hata meseji pia, photos na videos kutoka kwenye Android. Tafadhari pata programu hizi kwa kubonyeza vitufe vya hapo chini.


Step 1 Connect Simu yako ya Android kwenye kompyuta
Install na run programu, itakuuliza ku connect simu yako kwenye kompyuta.Tafadhari unganisha kompyuta yako kwenye kompyuta kwa USB cable ambayo inayoendana.


http://ictyetu.blogspot.com/p/step-2-weka-enable-usb-debugging-kwenye.html
Shiriki(Share) kwenye Google Plus

About ICT yetu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

3 Maoni :

  1. Je unawwza kurudisha namba ambayo ilisave afu ikaja ikafutika na cm ulipotza na namba mliwasiliana kma mwaka mmja nyuma?

    ReplyDelete