VLC media player huwa inauwezo wa kucheza file lolote la media, lakini unaweza ukaitumia pia kubadilisha format (convert) ya video kwenda format nyingine kama MP4, Kama unahitaji kutazama hiyo movie kwnye simu yako.
Ni rahisi kubadilisha Format ya video kwenye VLC, Ngoja turuke hapo ili tuonene jinsi ya kufanya hatua baada ya hatua:
1. Convert/badili kutoka kwenye Media menu Bonyeza kwenye Media menu ya VLC, kisha bonyeza Convert / Save.
2. Chagua video(s) ya kubadili(convert)
Kwa kutumia Add button, Chagua video moja au zaidi la file unalotaka kubadili
3. Chagua jina la file unalohitaji lihifadhi file/video yako baada ya kubadilishwa/converted video
Kwenye Target file box, chagua destination file, na uandike/browse file la kuhifadhi video yako.
4. Chagua video format kwenye conversion
chini ya Profile, chagua target format kutoka kwenye list ya formats.
VLC media player ni rahisi kubadilisha format zingine kama MPEG, MP4, AVI, Divx, ASF, WMV, au DVD.
Home
/
mafunzo
/
Jinsi ya kutumia programu ya VLC kubadili format ya video yeyote(Tumia VLC kama huna Total Video Converter)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 Maoni :
Post a Comment